“Kama huna UKIMWI basi hakuna mtu ako na UKIMWI hii dunia” Netizens react to Ray C’s HIV test results - Priority10News | Exclusive East Africa News,Entertainment And Technology
 • Breaking News

  “Kama huna UKIMWI basi hakuna mtu ako na UKIMWI hii dunia” Netizens react to Ray C’s HIV test results

  "Kama huna UKIMWI basi hakuna mtu ako na UKIMWI hii dunia" Netizens react to Ray C's HIV test results

  Ray C breathed a sigh of relief after getting tested for HIV. The singer took to social media to share the results of her HIV test but many people didn’t believe the results were hers.
  You can tell how people think of Ray C based on the comments shared on social media after she publicly shared the results of her HIV test.
  The singer tested negative for HIV but skeptics thought the results were doctored. Some people even dared Ray C to share second to second video recording of her taking the HIV test.
  Reactions
  Below are some of the reactions from netizens after Ray C shared results of her HIV test:
  lusupi_gadafi: Adi we RAYC huna ngoma basi duniani hakuna UKIMWI
  ahmadjuma353: Duuuh mi siamin km una ten siamin
  mchome.rKipimo: icho kama unatumia dawa mda mrefu hakioneshi kama unawo lbda upime kipimo kikubwa
  angelicuostone: Weka kipimo chote hapo akionekani had mwisho
  chriss__konnie: Ukapime na machine 🔬🔬 hiki hua kinaongopa
  blandina.john71: Utuonyeshe daktari akikutoa damu live na kuipima live. Sio kipimo peke yake bila sura yako wala kihakikisha kama ni damu yako kweli ama la… ni mtazamo tyuuuuu…. @ra
  s_money_love: Mbona hujapiga kipimo chote?
  hildajohson40: Toboa huku tunaona mpaka majibu tutaamini vipi kama umeweka damu ya kuku hapo
  sheikh_kipenzi: Mbona damu yako nyeusi sana itakua yambuzi siyo yako
  nicole_nabintu: Siku ndege ita kufa haijuwagi kuruka,wewe endelea kuonesha bipimo Maman 👍 sasa ingekuwa positive una waza utaweza subutu ku post ,? Akili yako ndogo👎
  chalemzeethe_king: Nisindikize na Mimi nikacheck 😂
  ruganisa: Chukua clip kuanzia unajichoma unaiweka damu humo mpaka kinasoma hapo ndio tutaamini 😂😂
  vahayesusoje ?: Kama cio chako tutajuaje!!! Dada ang
  alko_dangotejr: Huu ukimwi unachagua watu aisee🙇🙇yaan umemkosa @rayctanzania na alivokua kiana,, kabla ya kuokolewa, Afu maajabu hata mond utakuta et hana😂😂
  beka_princeb: Kwan dawa ishapatiakan?
  baraka_star: Mbona damu imeyayuka hapo au dokta kakuficha 😂
  jackson_essau: Kama rayc Hana mm napataje Asa
  kelvinmsambili: Unachokitafuta utakipataa😂😂😂
  kabekebaroja: Usichoke kupima ipo siku utapata unacho kitafuta
  super_luwango: Muongo ww
  angelbaseka: 😂😂😂kipimo ico nica wongo 😂😂 ukitaka kupima HIV wende hospital watowe damu kwa mkono apana iyo damu yakutoka kwa vidole hell nuh try to go to the hospital 😂😂those are so fucking up lying I’m telling u the trough 🤣 🇧🇮🇧🇮
  silahange__jr: Ha…..ha….ha……ulijua ushaumia nn, tatizo mnafanya saaaaana @rayctanzania

  No comments

  Post Bottom Ad

  Powered by Blogger.